• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baraza la Uchumi Duniani latangaza kaulimbiu ya mkutano wa mwaka 2021 kuwa ni "Mwanzo Mpya"

    (GMT+08:00) 2020-06-04 08:59:08

    Baraza la uchumi duniani WEF lenye makao yake makuu mjini Geneva, limetangaza kuwa kaulimbiu ya mkutano wa mwaka 2021 wa baraza hilo itakuwa ni "Mwanzo Mpya (The Great Reset)".

    Mkutano wa mwaka 2021 wa Baraza la Uchumi Duniani unatarajiwa kufanyika mwezi Januari mwakani. Taarifa iliyotolewa inasema, Kaulimbinu ya "Mwanzo Mpya" inalenga kuweka kwa pamoja na kwa haraka msingi wa mifumo ya uchumi na jamii duniani, ili kujenga dunia endelevu yenye haki na ustahimili zaidi katika siku za baadaye.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako