• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Italia yafungua usafiri kati ya kanda

    (GMT+08:00) 2020-06-04 08:59:33

    Italia imeamua kufungua usafiri kati ya kanda kuu za nchi hiyo, na kuwaruhusu watalii kutoka Umoja wa Ulaya, nchi za Schengen na Uingereza kuingia nchini bila vizuizi, kufuatia hali ya maambukizi ya virusi vya Corona kuendelea kuboreka nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako