• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Tshabalala awatoa hofu mashabiki Simba SC

    (GMT+08:00) 2020-06-04 15:53:52

    Nahodha msaidizi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' amesema wamejipanga kuhakikisha wanaendelea pale walipoishia katika Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho la Azam. Tshabalala amesema waliishia na moto wa kufanya vizuri katika ligi kwa maana ya kupata matokeo mengi ya ushindi na hilo ndio wamejipanga kama wachezaji kwenda kuliendeleza. Amesema katika mazoezi wanapewa mafunzo, mbinu ma maelekezo kutoka kwa makocha wao lakini jukumu kubwa linabaki kwa wachezaji kwenda kuyafanyia kazi hayo yote katika mechi husika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako