• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Luc Eymael hajui lini atarudi Tanzania

    (GMT+08:00) 2020-06-04 15:54:46

    Kocha Mkuu wa Young Africans, Luc Eymael amesema haelewi kwa nini viongozi wa klabu hiyo mpaka sasa wameshindwa kukamilisha utaratibu wa kumwezesha kurejea Tanzania kwa ajili ya kuendelea na kazi ya kinoa kikosi chake. Kikosi cha Young Africans kilianza kujiandaa na michezo ya ligi kuu Tanzania Bara (VPL) na Kombe la Shirikisho (ASFC), juma lililopita chini ya kocha msaidizi Charles Boniface Mkwasa. Aymeal ambaye yupo Ubelgiji amesema, zimebaki siku 10 tu kuanza kwa michezo ya ligi kuu Tanzania Bara, Ila hujui ni lini atarejea Tanzania.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako