Akizungumza katika mkutano wa kila siku na waandishi wa habari kuhusu hali ya maambukizi ya virusi vya Corona uliofanyika Jumatano alasiri, waziri mkuu wa Uingereza Bw. Boris Johnson alisema anachukia tukio hilo lililotokea na kusisitiza kuwa "Ni lazima ubaguzi wa rangi utokomezwe, huu ni msimamo wa pamoja wa watu wengi. Maisha ya kila mtu ni muhimu, na maisha ya wamarekani wenye asili ya Afrika ni muhimu. "
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |