• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Asilimia 37 ya ardhi ya Pakistan yatajwa kukabiliwa na tishio la nzige wa jangwani

    (GMT+08:00) 2020-06-08 09:13:43

    Vyombo vya habari vya Pakistan vimesema asilimia 37 ya ardhi ya nchi hiyo inakabiliwa na hatari kubwa ya kuvamiwa na nzige wa jangwani kama wadudu hao hawatadhibitiwa ipasavyo. Ripoti iliyowasilishwa kwa mahakama kuu ya Pakistan na serikali ya mkoa wa Punjab inasisitiza hatari inayoyakabili maeneo ya mpakani kati ya Pakistan na Iran, India, na kutopatikana kwa raslimali zinazohitajika kama vile mashine za kupulizia dawa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako