• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Madaktari bingwa: Chanjo za kwanza kabisa zitapatikana kwa matumizi ya dharura mwishoni mwa mwaka huu

    (GMT+08:00) 2020-06-08 21:00:51

    Madaktari bingwa wa China walioongoza timu ya wataalamu wa afya katika mapambano dhidi ya COVID-19,wamesema chanjo ya kwanza kabisa inatarajiwa kupatikana kwa ajili ya matumizi ya dharura mwishoni wa mwaka huu, hadi kuna aina 6 za chanjo ambazo zimeanza kufanyiwa majaribio kwa binadamu nchini China. Katika kipindi kilichotolewa moja kwa moja kwa njia ya mtandao wa Internet, madaktari hao wawili Zhong Nanshan na Li Lanjuan walisema chanjo ndio ni ufumbuzi wa janga la COVID-19, na kile kiitwacho mbinu ya kinga za asili (natural immunity) kinaweza kufanya kazi baada ya asilimia 60-70 ya watu kuambukizwa na kusababisha vifo vya milioni 30-40, hali ambayo ni hasara kubwa isiyokubalika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako