• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping afanya ziara ya ukaguzi mkoani Ningxia

    (GMT+08:00) 2020-06-09 08:47:11

    Rais Xi Jinping wa China jana jumatatu alifanya ziara ya ukaguzi katika mkoa unaojiendesha wa kabila la wahui wa Ningxia, ulioko kaskazini magharibi mwa China.

    Jana alasiri Rais Xi alitembelea kijiji kimoja na eneo moja la makazi mjini Wuzhong, ili kukagua juhudi zilizofanywa za kupunguza umaskini, kuimarisha uhifadhi wa mazingira ya asili ya Mto Manjano, na kuhimiza mshikamano kati ya makabila. Hii ni mara ya nne kwa Rais Xi kutembelea maeneo ya Mto Manjano ndani ya mwaka mmoja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako