• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki ya Dunia yakadiria uchumi wa dunia utapungua kwa asilimia 5.2 kwa mwaka huu

    (GMT+08:00) 2020-06-09 08:47:30

    Ripoti ya Makadirio ya Uchumi wa Dunia iliyotolewa jana na Benki ya Dunia inakadiria kuwa uchumi wa dunia kwa mwaka huu utapungua kwa asilimia 5.2 kutokana na janga la COVID-19, ambao utakuwa ni mporomoko mkubwa zaidi tangu Vita Kuu vya Pili vya Dunia.

    Kwa mujibu wa ripoti hiyo, chumi za nchi zilizoendelea zitashuka kwa asilimia 7, na nchi zinazoendelea zitashuhudia kupungua kwa asilimia 2.5 katika chumi zao mwaka huu. Uchumi wa China unatarajiwa kukua kwa asilimia 1 mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako