• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Korea Kaskazini kukata njia zote za mawasiliano na Korea Kusini

    (GMT+08:00) 2020-06-09 08:47:50

    Shirika la habari la Korea Kaskazini KCNA limeripoti kuwa Korea Kaskazini itakata njia zote za mawasiliano kati yake na Korea Kusini, ikiwa ni hatua ya kwanza ya dhamira ya Korea Kaskazini ya kufunga mawasiliano yote na upande wa Korea Kusini, na kuondoa mambo yasiyo ya lazima.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako