• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Palestina yatishia kuacha kuitambua Israel kama ikiendelea kutekeleza mpango wa kukalia ardhi ya Palestina

    (GMT+08:00) 2020-06-09 08:48:08

    Waziri mkuu wa Palestina Bw. Mohammed Ishtaye ameonya kuwa Palestina itaacha kuitambua Israel kama serikali yake itatekeleza mpango wake wa kukalia ardhi ya Palestina.

    Bw. Ishtaye amesema ukaliaji wa Israel kwenye maeneo ya uUkingo wa Magharibi, hasa Bonde la Jordan, unalenga kuhujumu uwezekano wa kuanzisha nchi huru ya Palestina.

    Waziri mkuu huyo pia amethibitisha kuwa upande wa Palestina umesitisha kikamilifu uratibu wote na Israel kwenye nyanja za uchumi, afya na usalama.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako