• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hakuna kabila lolote linaloweza kuachwa wakati China inatokomeza umaskini, kujenga jamii yenye maisha bora na kujenga taifa kuwa la kisasa 

    (GMT+08:00) 2020-06-09 10:55:46
    Rais Xi Jinping wa China asema hakuna kabila lolote linaloweza kuachwa wakati nchi yake inatokomeza umaskini, kujenga jamii yenye maisha bora na kulifanya taifa liwe la kisasa. Rais Xi amesema hayo alipofanya ukaguzi katika eneo la makazi lenye watu zaidi ya elfu 13, ambao nusu kati yao ni watu wa makabila madogo madogo. Amesema watu wa makabila mbalimbali wanaishi kwa masikilizano na kusonga mbele kwa pamoja nchini China, na hii ni sifa bora ya mfumo wa ujamaa wenye umaalum wa kichina.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako