• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ziara nne za rais Xi mkoani Ningxia zaonesha ufuatiliaji wake wa miaka 24

    (GMT+08:00) 2020-06-09 18:53:47

    Rai Xi Jinping wa China amefanya ziara mkoani Ningxia, ikiwa ni ziara yake ya kwanza ndani ya nchi baada ya Mikutano Miwli ya taifa, na pia ni zara yake ya sita ya kutoka nje ya Beijing katika mwaka huu.

    Jana mchana, rais Xi alitembelea kijiji cha Hongde, wilaya ya Hongsipu mjini Wuzhong, na eneo la makazi la Jinhuayuan la tarafa ya Jinxing. Rais Xi amefahamishwa maendeleo yaliyopatikana katika kuondokana na umaskini, kuimarisha hifadhi ya kiikolojia ya Mto Manjano na kuhimiza umoja wa makabila.

    Tangu mwaka 1997 hadi 2020, ziara nne za rais Xi mkoani Ningxia katika miaka 24 iliyopita zimeonesha ufuatiliaji wake kwa ardhi hiyo na watu wake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako