• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • AMISOM yakiri kuwa raia watatu waliuawa kusini mwa Somalia

    (GMT+08:00) 2020-06-10 09:12:45

    Tume ya Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM imekiri kuwa raia watatu waliuawa na wengine wawili walijeruhiwa kwenye mapigano yaliyotokea Jumatatu kati ya vikosi vya tume hiyo na wapiganaji wa Al-Shabaab kusini mwa Somalia.

    Mkuu wa AMISOM Bw. Francisco Madeira amesema tukio hilo limetokea wakati magaidi wa al-Shabaab walipofanya shambulizi la ghafla katika njia kuu ya ugavi kwenye eneo la kaskazini mashariki mwa Janaale mkoani Lower Shabelle.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako