• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maonesho ya uagizaji na uuzaji wa bidhaa nje ya China kufanyika wiki ijayo kupitia mtandao

    (GMT+08:00) 2020-06-11 09:07:25

    Maonesho ya uagizaji na uuzaji wa bidhaa nje ya China ya Guangzhou (The Canton Fair) yatafanyika kuanzia tarehe 15 hadi tarehe 24 mwezi Juni kupitia mtandao, ikiwa ni mara ya kwanza kwa maonesho hayo yenye historia ya miaka 63 kufanyika kwa njia hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako