• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Misri yasema mazungumzo kuhusu bwawa la Ethiopia hayana matokeo mazuri

    (GMT+08:00) 2020-06-11 09:51:29

    Wizara ya maji na umwagiliaji ya Misri inasema mkutano na Sudan na Ethiopia kuhusu bwawa kubwa la umeme la Ethiopia GERD haujapata matokeo mazuri.

    Taarifa iliyotolewa na wizara hiyo inasema mkutano uliofanyika jumanne, haujapata maendeleo yoyote, na umefuatilia tu masuala ya kiutaratibu kama vile mpango wa mkutano, kumbukumbu kuhusu mazumgumzo na umuhimu wa ukaguzi.

    Mawaziri wa maji kutoka nchi hizo tatu wanatarajiwa kukutana tena leo kuendelea na mazungumzo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako