• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya yafikiria kufungua tena uchumi taratibu huku maambukizi ya COVID-19 yakiongezeka

    (GMT+08:00) 2020-06-11 09:51:53

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya jana aliendesha mkutano na serikali za kaunti, na kukubali kuimarisha hatua za kupambana na COVID-19 kabla ya kufungua tena uchumi taratibu.

    Mkutano huo unasema hatua zinazochukuliwa kwa ajili ya kulinda wakenya dhidi ya athari za COVID-19 kwa afya, na uchumi-jamii ni pamoja na kuhakikisha vitanda 30,500 vya wagonjwa vinapatikana ndani ya mwezi mmoja.

    Mpaka sasa Kenya imetangaza kuwa na watu 3,094 walioambukizwa virusi vya Corona, watu 89 wamefariki na 1048 wamepona.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako