• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • WHO yataka kufanyika kwa utafiti kwa maambukizi ya watu wasio na dalili za COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-06-11 10:09:25

    Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Afya Duniani WHO Tedros Ghebreyesus amesema tafiti nyingi zinahitajika ili kufahamu zaidi jinsi virusi vya Corona vinaenezwa na wenye virusi hivyo ambao hawana dalili za ugonjwa.

    Bw. Tedros amesema bado kuna mambo mengi yasiyofahamika kuhusu virusi vya Corona licha ya maendeleo makubwa kupatikana. Amesisitiza kuwa njia muhimu zaidi ya kuzuia kuenea kwa virusi hivyo ni kuwagundua, kuwatenga na kuwapima watu wenye dalili, na kuwafuatilia na kuwatenga wale waliokuwa karibu nao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako