• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yafanikiwa kurusha setilaiti ya D ya kufuatilia masuala ya bahari ya Namba 1

    (GMT+08:00) 2020-06-11 19:29:48

    China imefanikiwa kurusha chombo cha anga ya juu cha Changzheng itakayochunguza masuala ya baharini kwa kutumia roketi ya Long March 2-C kutokea Kituo cha Kurusha Setilaiti cha Taiyuan, mkoani Shanxi.

    Setilaiti hiyo HY-1D na setilaiti HY-1C zitaunda mtandao wa kwanza wa setilaiti unaotumiwa katika huduma ya kiraia kufuatilia masuala ya bahari. Mtandao huo unatarajiwa kuongeza uwezo wa China wa kusimamia rangi ya bahari, maliasili za pwani na mazingira ya kimaubile. Pia utafungua ukurasa mpya wa kuendeleza kwa pamoja setilaiti za maliasili za ardhi na bahari na kusaidia kuimarisha ujenzi wa taifa katika sekta ya bahari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako