• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wanasayansi wa Afrika wazindua jukwaa la mtandaoni kuhimiza majaribio ya kimatibabu kuhusiana na COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-06-12 08:54:31

    Akademia ya Sayansi ya Afrika AAS jana Alhamisi ilizindua jukwaa la mtandaoni ili kuhimiza majaribio ya kimatibabu kuhusiana na COVID-19 kupitia ushirikiano wa karibu kwenye utafiti na ujenzi wa uwezo.

    Akademia hiyo imesema jukwaa hilo la Jumuiya ya Majaribio ya Kimatibabu (CTC) litaimarisha ushirikiano wa kutafuta tiba ya virusi vya Corona.

    Kwa mujibu wa tovuti ya Clinicaltrials.gov, majaribio 35 ya kimatibabu kati ya yote 1,096 yanayoendelea kuhusiana na COVID-19 kote duniani, yanafanyika Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako