• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kampuni ya Dongfang Electric yasaini makubaliano ya kushiriki kwenye mradi wa kituo cha umeme wa maji Tanzania

    (GMT+08:00) 2020-06-12 08:54:51

    Kampuni ya Dongfang Electric ya China (DEC) imesema imesaini makubaliano na muungano wa kampuni mbili za Misri kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa kituo kikubwa cha umeme wa maji nchini Tanzania.

    Kwa mujibu wa makubaliano, kampuni ya DEC itatoa mitambo ya kuzalisha umeme kwa kutumia nishati ya maji na vifaa husika kwa mradi wa kituo cha umeme wa maji cha Julius Nyerere kwenye bonde la mto Rufiji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako