• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatoa shehena ya pili ya msaada wa kimatibabu wa kupambana na COVID-19 kwa Zimbabwe

    (GMT+08:00) 2020-06-12 09:13:53

    Serikali ya China imetoa shehena ya pili ya vifaa tiba vya kupambana na COVID-19 kwa Zimbabwe kutokana na ongezeko kubwa la maambukizi nchini humo katika wiki za hivi karibuni.

    Msaada huo ni pamoja na barakoa laki 1.65 na seti zaidi elfu 25 za vifaa vya kujikinga.

    Kwenye hafla ya kukabidhi msaada huo, rais Mnangagwa ameishukuru serikali ya China kutoa msaada na kusema, uungaji mkono na ushirikiano wa China kwa Zimbabwe katika mapambano dhidi ya virusi vya Corona vitaendelea kutoa athari chanya kwa Zimbabwe.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako