• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Ulaya wapendekeza nchi wanachama kufungua mipaka kati yao kuanzia Juni 15

    (GMT+08:00) 2020-06-12 09:36:20

    Umoja wa Ulaya umetangaza ajenda ya kufungua tena mipaka, na kupendekeza nchi wanachama wake zifungue mipaka kati yao kuanzia tarehe 15 mwezi huu, na kufungua mipaka na nchi zisizo za umoja huo hatua kwa hatua kuanzia tarehe 1 mwezi Julai, lakini zitafungua mipaka kwa nchi zilizoko kwenye orodha yao.

    Umoja wa Ulaya pia umezishauri nchi wanachama ziandae orodha ya mataifa kwa mujibu wa vigezo vya pamoja, na kuthibitisha raia wa nchi gani wataruhusiwa kuingia kwenye nchi za umoja huo baada ya kufungua mipaka tarehe 1 mwezi Julai, wakati huo huo zimeshauriwa kukagua na kurekebisha orodha hiyo kulingana na wakati.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako