• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Uganda aomboleza kifo cha rais wa Burundi

    (GMT+08:00) 2020-06-12 16:29:38

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametuma salamu za rambirambi kwa wananchi wa Burundi kufuatia kifo cha rais wa nchi hiyo, Pierre Nkurunziza.

    Taarifa iliyotolewa na serikali ya Burundi imesema, Rais nkurunziza alifariki Jumatatu kutokana na mshtuko wa moyo katika hospitali moja mjini Bujumbura.

    Nkurunziza alichaguliwa kuwa rais wa Burundi mwaka 2005 na alichaguliwa tena katika chaguzi za mwaka 2010 na 2015. Alikuwa amekabidhi madaraka kwa rais mpya mwezi Agosti baada ya uchaguzi uliofanyika nchini humo Mei 20.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako