• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • CMG yaandaa shughuli za kueneza utamaduni

    (GMT+08:00) 2020-06-13 20:39:51

    Hafla ya uzinduzi wa shughuli za mwaka huu za "Siku ya Mali za Urithi za Utamaduni na Asili" zilizoandaliwa na Shirika Kuu la Utangazaji la China CMG kwa kushirikiana na Idara Kuu ya Mabaki ya Utamaduni ya China imefanyika leo.

    Shughuli hizo ambazo zitafanyika kwa miezi mitatu zitaonesha mali za urithi wa utamaduni katika sehemu mbalimbali nchini China na kazi za kuzilinda, ili kueneza utamaduni wa China.

    Habari nyingine zinasema CMG hivi karibuni pia itatoa vipindi vifupi vya video kuhusu maandishi ya Kichina kwenye mabaki ya kiutamaduni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako