• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nchi 43 zafunga kabisa mipaka yake katika Afrika huku idadi ya watu wenye COVID-19 ikizidi 225,105

    (GMT+08:00) 2020-06-14 19:09:42

    Wakati idadi ya watu wenye COVID-19 ikizidi 225,105 Jumamosi katika Afrika nzima, nchi 43 sasa zimefunga kabisa mipaka yake kutokana na kuenea kwa kasi kwa ugonjwa huo.

    Kwa mujibu wa Kituo cha Kukinga na Kuzuia Magonjwa cha Afrika, Africa CDC, Idadi ya vifo imefikia 6,040 huku watu 102,846 wakiwa wamepona. Aidha kaskazini mwa Afrika ndio sehemu iliyoathirika Zaidi kwa idadi ya wagonjwa na vifo.

    Mbali na nchi hizo 43 kufunga mipaka yake yote, Kituo hicho pia kimesema zuio la kutoka nje usiku limeanza kutekelezwa katika nchi 35 zikiwa kwenye juhudi ya kusitisha kuenea kwa maambukizi ya virusi vya Corona.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako