• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya na China zaimarisha ushirikiano na kusaidiana katika mapambano dhidi ya virusi vya Corona

    (GMT+08:00) 2020-06-14 21:11:11

    Ubalozi wa China nchini Kenya umesema Kenya na China zinaimarisha ushirikiano na kusaidiana katika mapambano dhidi ya virusi vya Corona. Hakuna Mkenya hata mmoja aliyeambukizwa Covid-19 nchini China. Na nchini Kenya kulikuwa na wagonjwa wachache tu Wachina lakini wote wameshapona baada ya kupatiwa matibabu ya kitaalamu katika hospitali ya Nairobi.

    Ubalozi pia umeishukuru serikali ya nchi hiyo, taasisi za afya na wahudumu wote wa afya walio mstari wa mbele kwa kazi yao nzuri. Umewataka wachina wote waliopo Kenya kuchukua hatua zote za kujilinda na virusi vya Corona.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako