• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mawaziri wa ulinzi na mambo ya nje wa Russia waahirisha ziara nchini Uturuki

    (GMT+08:00) 2020-06-15 09:02:07

    Wizara ya mambo ya nje ya Uturuki imetangaza kuwa ziara iliyopangwa ya mawaziri wa mambo ya nje na ulinzi wa Russia nchini Uturuki imeahirishwa.

    Waziri wa mambo ya nje wa Russia Sergey Lavrov na waziri wa ulinzi wa Russia Sergey Shoygu walikuwa wamepanga kukutana na wenzao wa Uturuki kujadili masuala ya kikanda, ikiwemo suala la Libya, mjini Istanbul jana Jumapili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako