• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Abiria 17 waliosafiri kwa ndege ya Shirika la China Southern wathibitishwa kuwa na virusi vya Corona

    (GMT+08:00) 2020-06-15 09:30:56

    Abiria 17 walioko kwenye ndege ya Shirika la China Southern CZ392 iliyokuwa inaelekea Guangzhou ikitokea Dhaka, Bangladesh tarehe 11 mwezi huu wamethibitika kuambukizwa virusi vya Corona.

    Kwa mujibu wa kanuni mpya iliyotolewa tarehe 4 mwezi huu na mamlaka ya usafiri wa anga ya China, safari za ndege hiyo zitasitishwa kwa muda wa wiki nne kuanzia tarehe 22 mwezi huu. Hii ni amri ya kwanza ya kusitisha safari za ndege kutolewa tangu kanuni hiyo ianze kutekelezwa siku kumi zilizopita nchini China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako