• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mtaalamu atoa onyo dhidi ya ongezeko la kasi la maambukizi mapya ya COVID-19 barani Afrika

    (GMT+08:00) 2020-06-15 10:07:46

    Aliyekuwa mshauri wa uchumi-jamii wa Umoja wa Afrika (AU) na Kamati ya uchumi wa Afrika ya Umoja wa Mataifa (ECA) Costantinos Bt. Costantinos, amesema ana wasiwasi kuhusu ongezeko la kasi la maambukizi mapya ya COVID-19 barani Afrika.

    Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Kituo cha Kinga na Udhibiti wa Magonjwa barani Afrika (Africa CDC), kuanzia tarehe 2 hadi 10 mwezi huu, nchi za Afrika ziliripoti maambukizi mapya 43,182, na kuongezeka kwa asilimia 29 kuliko wiki iliyotangaulia.

    Mtaalamu huyo ameonya kuwa kutokana na ongezeko la kasi la maambukizi ya COVID-19 katika wiki za karibuni, janga hilo limeathiri afya na hali ya kijamii na kiuchumi kwa watu barani Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako