• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maonyesho ya 127 ya Canton Fair yaanza leo kwa njia ya mtandao

    (GMT+08:00) 2020-06-15 18:19:28

    Maonyesho ya 127 ya Biashara ya nje ya China yanayojulikana kama Canton Fair yameanza leo kwa njia ya mtandao, ikiwa ni mara ya kwanza kufanyika kwa njia hiyo katika miongo kadhaa.

    Maonyesho hayo ya siku 10 yamevutia makampuni elfu 25 katika sekta 16 na kuonesha bidhaa milioni 1.8.

    Mkurugenzi mkuu wa kituo cha biasahra ya nje ya China BW. Li Jinqi amesema, maonyesho hayo yatatoa huduma kwa saa 24 kwa siku ya kuonesha bidhaa kwenye mtandao, kutangaza bidhaa, na kufanya majadiliano ya kibiashara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako