• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Meja Jenarali Kefyalew Tessema kutoka Ethiopia ateuliwa kuwa kamanda wa Kikosi cha Umoja wa Mataifa katika eneo la Abyei

    (GMT+08:00) 2020-06-16 08:49:59

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres jana jumatatu alimteua meja jenerali Kefyalew Amde Tessema kutoka Ethiopia kuwa kamanda wa kikosi cha Umoja wa Mataifa cha kulinda amani katika eneo la Abyei kwenye mpaka wa Sudan na Sudan Kusini (UNISFA). Meja jenerali Kefyalew atachukua wadhifa huo kutoka kwa mwenzake meja jenerali Mehari Zewde Gebremariam, ambaye atamaliza muda wake Julai 7.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako