• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais mteule wa Burundi kuapishwa Juni 18

    (GMT+08:00) 2020-06-16 08:50:19

    Rais mteule wa Burundi Evariste Ndayishimiye anatarajiwa kuapishwa Alhamisi wiki hii kufuatia mahakama ya kikatiba ya nchi hiyo kutoa uamuzi wiki iliyopita kuwa atashika wadhifa wa urais baada ya rais Pierre Nkurunziza kufariki dunia. Wizara ya mambo ya nje ya Burundi jana jumatatu ilitoa mwaliko kwa wanadiplomasia wa nchi za nje nchini humo kuhudhuria sherehe ya kuapishwa itakayofanyika Juni 18 katika mkoa wa kati wa Gitega.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako