• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwendesha mashtaka wa Sudan atangaza kugunduliwa kwa kaburi la halaiki

    (GMT+08:00) 2020-06-16 08:50:37

    Mwendesha mashtaka wa Sudan Taj Al-Sir Ali Al-Hebr jana jumatatu alitangaza kugunduliwa kwa kaburi la halaiki mashariki mwa Khartoum.

    Bw. Al-Hebra amewaambia wanahabari kuwa kaburi hilo lina miili ya makuruta waliouawa mwaka 1998.

    Mwaka 1998, vikosi vya usalama viliripotiwa kuwafyatulia risasi baadhi ya makuruta waliojaribu kutoroka kwenye kambi ya mafunzo ya kijeshi ili kusherehekea sikukuu ya Eid al-Adha na familia zao baada ya mamlaka kukataa maombi yao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako