• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Beijing yaimarisha kinga na udhibiti kwenye maeneo ya makazi wakati maambukizi ya COVID-19 yakiibuka tena

    (GMT+08:00) 2020-06-16 10:51:56

    Beijing imeimarisha hatua za kinga na udhibiti wa maradhi kwenye ngazi ya mitaa ya makazi, ili kukabiliana na kuibuka tena kwa maambukizi mapya ya COVID-19.

    Ofisa wa kamati ya chama cha kikomunisti ya mji wa Beijing Bw. Xu Ying, amesema wafanyakazi karibu laki 1 katika vijiji na mitaa 7,120 ya makazi mjini Beijing wamejitolea katika mapambano dhidi ya ugonjwa huo.

    Ameongeza kuwa wafanyabiashara na wafanyakazi zaidi ya elfu 8 katika soko la mazao ya kilimo la Xinfadi waliokuwa na uhusiano wa karibu na wagonjwa hao wapya, wamefanyiwa upimaji mapema ya asubuhi ya jumapili iliyopita na wamewekwa katika ufuatiliaji wa kimatibabu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako