• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sergey Lavrov: Russia inapenda kuendelea kupanua ushirikiano na Iran

    (GMT+08:00) 2020-06-17 09:27:44

    Waziri wa mambo ya nje wa Russia Bw. Sergey Lavrov jana jumanne alikutana na mwenzake wa Iran Bw. Javad Zarif ambaye yuko ziarani nchini Russia, na kusema Russia inapenda kuendelea kupanua ushirikiano na Iran katika nyanja mbalimbali.

    Taarifa iliyotolewa jana na Wizara ya mambo ya nje ya Russia inasema mawaziri hao mawili wamefanya mazungumzo ya kiujenzi, ambapo Bw. Lavrov amesema uhusiano na ushirikiano kati ya Russia na Iran umeendelea kukua licha ya vikwazo vya upande mmoja vilivyowekwa na Marekani dhidi ya Iran, hatua ambayo Russia inaona ni "ukiukaji wa wazi" wa sheria za kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako