• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda yaanza kusambaza vyandarua milioni 27 kupambana na malaria

    (GMT+08:00) 2020-06-17 09:29:04

    Wizara ya afya ya Uganda jana jumanne ilizindua zoezi la kusambaza vyandarua milioni 27 vyenye dawa kwenye maeneo yote nchini humo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za nchi hiyo kupambana na ugonjwa wa malaria.

    Kwa mujibu wa wizara hiyo, malaria husababisha vifo vya watu elfu 70 hadi laki moja nchini humo kila mwaka, wengi wao wakiwa ni wajawazito na watoto.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako