• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • India, Ireland, Mexico, Norway zachaguliwa kuwa wanachama wasio wa kudumu wa Baraza la Usalama la UM

    (GMT+08:00) 2020-06-18 08:36:50

    Baraza kuu la Umoja wa Mataifa jana jumatano lilizichagua India, Ireland, Mexico na Norway kuwa wanachama wasio wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja huo kwa kipindi cha miaka miwili.

    Kenya na Djibouti, ambazo zote zimeshindwa kupata theluthi mbili ya kura kama inavyotakiwa kwenye upigaji kura uliofanyika jana, zitapigiwa kura kwa duru ya pili leo hii kugombea nafasi moja iliyobaki.

    Wanachama wapya wasio wa kudumu wa Baraza la Usalama wanashika nafasi hizo kwa muhula wa miaka miwili kuanzia Januari mosi mwaka 2021.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako