• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani yatangaza kuiwekea Syria vikwazo vipya

    (GMT+08:00) 2020-06-18 08:37:50

    Serikali ya Marekani imetangaza kuiwekea Syria vikwazo vipya vinavyohusisha mashirika na watu binafsi 39, wakiwemo rais Bashar al-Assad wa Syria na mke wake.

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw. Mike Pompeo amesema kupitia taarifa kuwa mtu yeyote anayefanya biashara na serikali ya al-Assad, popote alipo, atakabiliwa vizuizi vya usafiri na vikwazo vya kifedha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako