• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mswada wa sheria ya usalama wa taifa mkoani Hong Kong wajadiliwa na bunge la China

    (GMT+08:00) 2020-06-18 19:55:50

    Habari zilizotolewa na ofisi ya mawasiliano ya Bunge la Umma la China zinasema, mswada wa sheria ya usalama wa taifa mkoani Hong Kong leo umekabidhiwa kwa bunge hilo ili kujadiliwa.

    Sheria hiyo imebainisha wajibu wa kijinai kwa vitendo vya kufarakanisha taifa, kupindua utawala, ugaidi, na kuharibu usalama wa taifa kwa kushirikiana na nguvu za nje.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako