• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Pakistan yaihimiza India kutochochea mgogoro

    (GMT+08:00) 2020-06-18 20:06:05

    Waziri wa mambo ya nje wa Pakistan Bw. Shah Mahmood Qureshi ameitaka serikali ya India itilie maanani kutatua masuala ya ndani na kuacha kuwa nchi inayoonekana kutaka kupanua ardhi na kuchochea mgogoro kwenye sehemu za mipaka.

    Bw. Qureshi amesema, India inapaswa kutambua kuwa, kosoro, kushindwa na Ufashisti wake vimeiletea matatizo mengi zaidi kwa kulinganishwa na nchi zake jirani. Ameihimiza India kujichunguza na kutilia maanani kuwahudumia vizuri zaidi watu maskini, wanaoonewa na watu wa makabila madogo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako