• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UNICEF, Umoja wa Afrika wazindua kampeni ya kuhimiza uandikishaji wa watoto wa Afrika baada ya kuzaliwa

    (GMT+08:00) 2020-06-19 08:41:25

    Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF na Umoja wa Afrika wamezindua kampeni ya kuhimiza usajili wa watoto baada ya kuzaliwa.

    Taarifa ya pamoja iliyotolewa Nairobi inasema kampeni hiyo iitwayo "No Name Campaign" inalenga kuwapa watoto utambulisho wa kisheria na kuhakikisha wanapata haki na huduma za kimsingi ikiwemo afya na elimu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako