• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 13 wafariki katika maporomoko ya udongo mjini Abidjan, Côte d'Ivoire

    (GMT+08:00) 2020-06-19 19:18:13

    Watu 13 wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa baada ya kutokea kwa maporomoko ya udongo hapo jana mjini Abidjan, Côte d'Ivoire.

    Polisi nchini humo wamesema, maporomoko hayo yametokana na mvua mkubwa iliyonyesha mfululizo ambayo imeathiri kazi za uokoaji.

    Mpaka sasa, watu wengi bado hawajulikani walipo na kazi za uokoaji bado zinaendelea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako