• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais mpya wa Burundi aapishwa

    (GMT+08:00) 2020-06-19 19:32:24

    Rais mpya wa Burundi Evariste Ndayishimiye ameapishwa jana kataka sherehe iliyofanyika huko Gitega.

    Baada ya kuapishwa, rais Ndayishimiye ametoa hotuba akisema atajitahidi kulinda mamlaka ya Burundi. Pia amewahimiza wakimbizi wa Burundi kurudi nchini humo na kutoa mchango kwa maendeleo ya Burundi. Aidha, amesema, Burundi itafungua mlango kwa nchi zinazotaka kufanya ushirikiano nayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako