• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani kushindwa nia yake ya kuingilia kati mambo ya ndani ya China katika suala la Xinjiang

    (GMT+08:00) 2020-06-19 20:17:32

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Zhao Lijian amesema, nia ya China kulinda mamlaka, usalama na maendeleo yake, na utulivu na mshikamano wa makabila mkoani Xinjiang haitabadilika, na Marekani itashindwa kuingilia kati mambo ya ndani na kuipaka matope China.

    Zhao amesema Marekani inapuuza hali halisi mkoani Xinjiang, na kuweka vigezo viwili katika suala la haki za binadamu, kitendo kinachopingwa kithabiti na China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako