• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa kilele kati ya China na EU kuhimiza ushirikiano na hali ya kuaminiana

    (GMT+08:00) 2020-06-22 07:56:57

    Kiongozi wa Ujumbe wa China katika Umoja wa Ulaya Balozi Zhang Mingļ¼Œamesema mkutano ujao wa kilele kati ya China na Umoja wa Ulaya unatarajiwa kuhimiza hali ya kuaminiana kimkakati na ushirikiano wa kunufaishana kati ya pande hizo mbili, na pia utaweka mwelekeo wa maendeleo ya uhusiano wa pande hizo mbili baada ya janga la COVID-19 kumalizika.

    Mkutano huo utakaofanyika Jumatatu utakuwa ni wa kwanza wa aina yake baada ya viongozi wapya wa Umoja wa Ulaya kuingia madarakani, na pia ni wa ngazi ya juu zaidi kati ya pande hizo mbili tangu virusi vya Corona vilipuke.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako