• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Putin asema hataondoa uwezekano wa kugombea tena urais kama marekebisho ya katiba yatapitishwa

    (GMT+08:00) 2020-06-22 07:57:18

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesema haondoi uwezekano wa kugombea tena urais kwa muhula mwingine kama marekebisho ya katiba yataridhiwa. Amesema ni muhimu kufanya kazi, wala sio kutafuta warithi.

    Russia itapiga kura ya maoni kuhusu marekebisho ya katiba Julai mosi, ambayo yatamwezesha rais Putin kushiriki kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2024.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako