• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya maambukizi ya virusi vya Corona katika Kampuni ya kuchakata nyama ya Ujerumani yafikia 1,331

    (GMT+08:00) 2020-06-22 07:57:37

    Idadi ya wafanyakazi walioambukizwa virusi vya Corona wa kampuni ya kuchakata nyama ya Toennies kwenye eneo la Guetersloh katika jimbo la North-Rhine Westphalia, Ujerumani imeongezeka na kufikia 1,331 hadi kufikia jumapili alasiri.

    Mkuu wa jimbo hilo Armin Laschet alisema jumapili kuwa maambukizi yanaweza kudhibitiwa ndani ya kampuni hiyo na hakuna mlolongo wa maambukizi yaliyogunduliwa nje ya kampuni hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako