• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ofisa wa Tunisia atoa wito wa kuwarudisha watoto waliokwama katika kambi za wakimbizi nchini Syria na Libya

    (GMT+08:00) 2020-06-22 07:57:56

    Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Kutetea Haki za Binadamu na Uhuru nchini Tunisia Marouan Jedda ametoa wito kwa serikali ya Tunisia kuwarudisha nyumbani watoto zaidi ya 146 wa nchi hiyo waliokwama katika kambi za wakimbizi nchini Syria na Libya, kufuatia maambukizi ya COVID-19 kuripotiwa katika kambi hizo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako