• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yafanikiwa kurusha setilaiti ya mwisho ya mtandao wa Beidou

    (GMT+08:00) 2020-06-23 16:07:10

    China imefanikiwa kurusha setilaiti ya 55 ya mfumo wa Beidou kupitia chombo cha usafiri wa anga ya juu cha Changzheng Namba 3, ambayo ni setilaiti ya mwisho ya mtandao wa dunia wa Beidou 3. Hivi sasa ujenzi wa mfumo wa setilaiti wa dunia wa Beidou 3 umekamilika mapema kwa miezi sita kuliko mpango wa awali.

    Kwa sasa, zaidi ya nusu ya nchi duniani zimeanza kutumia mtandao wa Beidou. Baadaye, mtandao huo utashiriki kwenye shughuli za usambazaji za kimataifa, kuhimiza matumizi ya pamoja chini ya mifumo tofauti, na kuendeleza ushirikiano wa kimataifa ili kupata maendeleo mapya kwa kufuata mahitaji ya kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako